CHUO CHA VICTORY WESTERN WING COLLEGE – UKEREWE-MWANZA

Jina la Chuo: VICTORY WESTERN WING COLLEGE – MWANZA

Usajili: Chuo kimesajiliwa chini ya NACTVET

Namba ya Usajili:REG/NACTVET/1403P

Intake:SEPTEMBER 2026 – DIRISHA LA PILI

TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJISAJILI β€“ INTAKE YA SEPTEMBER 2026

πŸ“’ USAJILI UNAENDELEA – DIRISHA LA PILI LA INTAKE YA SEPTEMBER 2026 

Victory Western Wing College – Mwanza inapenda kuwajulisha wanafunzi, walimu, watumishi wa umma na wananchi wote wenye nia ya kujiendeleza kielimu kuwa usajili wa wanafunzi kwa Dirisha la Pili la Intake ya September 2026 unaendelea. 

Chuo kinatoa fursa kwa waombaji wenye sifa kujiunga na programu mbalimbali zinazolenga kuwaandaa wanafunzi kupata maarifa, ujuzi na uwezo wa kitaaluma unaohitajika katika maeneo ya Education Management and Administration na Community Development.

🏫 PROGRAMU ZINAZOTOLEWA

1. DIPLOMA IN EDUCATION MANAGEMENT AND ADMINISTRATION (DEMA)

⏳ Muda wa masomo: Miaka 2

πŸ“š Muundo wa usomaji: 

Masomo kwa njia ya MASAFA - Open and Distance Learning (ODL)/Online, hivyo mwanafunzi anaweza kuendelea na shughuli zake huku akisoma. 

Sifa za kujiunga:

Mwombaji anatakiwa kuwa na Certificate of Teaching Grade A (Cheti cha Ualimu Daraja la IIIA/Grade A) na udaulu wa alama D katika masomo manne yasiyo ya Dini kidato cha nne. 

Programu hii inamwandaa mwanafunzi katika maeneo muhimu kama: 

  • Educational Management and Administration
  • School Management and Leadership
  • Human Resource Management
  • Financial Management
  • Management of Teaching and Learning Resources
  • Computer Skills na maeneo mengine yanayohusiana na usimamizi wa elimu.

2. DIPLOMA IN COMMUNITY DEVELOPMENT

⏳ Muda wa masomo: Miaka 2

πŸ“š Muundo wa usomaji:

Full-Time – mwanafunzi anahitajika kuhudhuria masomo chuoni kwa utaratibu uliowekwa na chuo. 

Sifa za kujiunga:

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa za kielimu zinazokubalika kwa Kuwa na Certificate ya Community Development pamoja na ufaulu wa alama D katika masomo manne yasiyo ya Dini kidato cha nne. 

Programu hii inalenga kumjengea mwanafunzi uwezo katika: 

  • Community Development
  • Community Mobilization
  • Project Planning and Management
  • Community Participation
  • Social and Economic Development
  • Entrepreneurship na maeneo mengine yanayohusiana na maendeleo ya jamii.

3. CERTIFICATE IN COMMUNITY DEVELOPMENT

⏳ Muda wa masomo: Mwaka 1

πŸ“š Muundo wa usomaji:Full-Time – masomo yanafanyika chuoni. 

Sifa za kujiunga:

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa za kielimu zinazotambuliwa kwa kujiunga na ngazi ya Certificate kwa kuwa na Ufaulu wa angalau alama D katika masomo manne yasiyo ya Dini. Programu hii inampa mwanafunzi msingi wa maarifa na ujuzi wa kufanya kazi katika maeneo mbalimbali ya maendeleo ya jamii na miradi ya kijamii. 


πŸ“… INTAKE YA SEPTEMBER 2026 – DIRISHA LA PILI

Usajili unaendelea sasa.

Waombaji wote wenye sifa wanashauriwa kutumia fursa hii kuwasilisha maombi yao mapema ili kupata nafasi katika programu wanayoitaka. 

⭐ KWA NINI USOME VICTORY WESTERN WING COLLEGE? 

βœ… Programu zinazolenga mahitaji ya soko la ajira na maendeleo ya jamii

βœ… Fursa ya kujiendeleza kielimu

βœ… Mfumo wa masomo unaozingatia mahitaji ya mwanafunzi

βœ… Fursa ya kusoma kwa mfumo wa masafa/online kwa programu husika

βœ… Mazingira rafiki ya kujifunzia

βœ… Walimu na wakufunzi wenye ujuzi na uzoefu

βœ… Fursa kwa watumishi na watu wenye majukumu mengine kujiendeleza kielimu 

πŸ“ž Wasiliana Nasi kwa Maelezo Zaidi na Usajili

Simu: 0775808521 | 0610371326 

VICTORY WESTERN WING COLLEGE – MWANZA

USISAHAU!πŸ“’ 

NAFASI NI CHACHE – USAJILI UNAENDELEA!

Jiunge nasi leo anza safari yako ya elimu na maendeleo.

Comments
* The email will not be published on the website.